• No products in the basket.

Magwiji wa Kiswahili Miigo ya KCPE

KSh 60 per week

SUBSCRIPTION FOR 7 days

Description

Unaweza ukawa gwiji mkuu!

Kozi za Miigo ya KCPE ni msururu mpya uliotungwa kispesheli kukufanya wewe kuwa gwiji. Kila Kozi katika msururu huu imeandikwa na walimu na watahini wenye tajriba pevu.  Wameitalii silabasi ya shule za msingi na kutunga maswali yenye kina kikuu huku wakizingatia kwa karibu sana mtindo unaotumiwa na mtihani wa KCPE.  Kwa mtahiniwa, kozi hizi ndizo njia ya hakika ya kuelekea kwenye upeo wa ufanisi katika mtihani wa KCPE.  Kwa mwalimu na mtahini, kozi hizi ndizo miongozo ya hakika ya mtihani.

Magwiji wa Kiswahili, Miigo ya KCPE no kozi ya aina yake ya udurusu ambayo:

⇒ Ina miigo 20 ya mtihani wa KCPE ambayo inafuata mtindo wa utahini pamoja na mfumo wa uteuzi wa maswali wa KCPE.

⇒ Ina vidokezo muhimu vya namna ya kufanikiwa katika mtihani wa Kiswahili wa KCPE.

 

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

About Soma League

Soma League is an e-learning platform designed for children from Grade 1 to High School. We have digitized books so that you don't have to purchase hard copies, we have KCSE and KCSE past papers that you can take online (no need to print them), and short exercises to enhance your math and language skills.

Schools can create their entire curriculum on Soma League to help students and parents stay on track with their learning.

Who’s Online

There are no users currently online

top
© Soma League Website designed by Muthoni
error: Content is protected
X