• No products in the basket.

Majaribio yote yameratibiwa kufuata mfumo wa utahini wa mtihani wa KCPE.  Juhudi kubwa zimefanywa kuhakikisha kuwa vipengele vyote vilivyo katika silabasi vimeshughulikiwa ili kumpa mtahiniwa tathmini inayomulika na mtihani wa KCPE.

Kila jaribio limegawanywa katika sehemu zifuatazo:

i) Mtungo – Hii ni sehemu yenye vihasho ambavyo mtahini anastahili kuvijaza na kuhakikisha kwamba kuna mtiririko mahususi kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mtungo wenyewe.

ii) Sarufi – Hii ni sehemu pana inayolenga kutahini vipengele mbalimbali vya sarufi vikiwamo ngeli, aina za maneno kwa mfano nomino, vivumishi, viwakilishi, vitenzi, vielezi, vihusishi, viunganishi na vihisishi.

iii) Pia, masuala ya viambishi, ukubwa na udogo, vinyume, mnyambuliko wa vitenzi, uundaji wa maneno, uakifishaji, tanakali za sauti, usemi halisi na usemi wa taarifa miongoni mwa hoja nyingine muhimu yameshughulikiwa kikamilifu.

iv) Ufahamu – Fahamu zote zimezingatia masuala mbalimbali ibuka yakiwamo matumizi ya mihadarati, uchumi, ufisadi, maadili na fahamu za visa kemkem vyenye mafunzo anuwai.

Course Reviews

N.A

ratings
  • 5 stars0
  • 4 stars0
  • 3 stars0
  • 2 stars0
  • 1 stars0

No Reviews found for this course.

3 STUDENTS ENROLLED

Recent Posts

About Soma League

Soma League is an e-learning platform designed for children from Grade 1 to High School. We have digitized books so that you don't have to purchase hard copies, we have KCSE and KCSE past papers that you can take online (no need to print them), and short exercises to enhance your math and language skills.

Schools can create their entire curriculum on Soma League to help students and parents stay on track with their learning.

Who’s Online

There are no users currently online

top
© Soma League Website designed by Muthoni
error: Content is protected
X